Poul Godfrey Boxer Mambo Mazuri Yapo Huku
Tangu apate majeraha Paul Godfrey 'Boxer' kiwango chake kilishuka....
.. Alipungukiwa accuracy ya pasi zake, akawa hajiamini tena hali iliyopelekea kuondoa usahihi wa matendo kwenye pitch kwa kiasi kikubwa.
Note ; Kwa takribani michezo (2) sasa hasa wa jana dhidi ya Biashara United, Boxer amebadilika sana.
☑️ Accuracy ya pasi imeimarika.
☑️ Anakaba na kushambulia kwa wakati. Anakwenda na Ala za muziki 🎻🎼 unaopigwa na timu.
☑️ Speed & Nguvu.
👍 Speed aliyonayo Boxer nadhani ni Kisinda pekee ndiye anakaa juu yake + Akiboresha umakini na kumsikiliza mwalimu vema, dogo ni wingback ya taifa siku za usoni.
Comments
Post a Comment