NIMEFUNGIWA UONGOZI WA UFA, DRFA NA UJUMBE WA MKUTANO MKUU, SIO KUANGALIA MPIRA NA KUUZA JEZI.
NIMEFUNGIWA UONGOZI WA UFA, DRFA NA UJUMBE WA MKUTANO MKUU, SIO KUANGALIA MPIRA NA KUUZA JEZI.
Shafii Dauda"Bahati mbaya watu wengi hawakuielewa taarifa ya kufungiwa kwangu, Nimefungiwa kuwa kiongozi wa UFA, DRFA wala kuuwakikisha Mkoa nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF."
"Watu wanadhani nimefungiwa majukumu yangu kama mwanahabari.Ndio maana baada ya TFF kutoa taarifa ya hukumu yangu mimi nili-repost kwenye ukurasa wangu wa Instagram"
"Watu wakadhani naenda kinyume kwa sababu nimefungiwa sitakiwi hata ku-post.Naamini baada ya miaka mitano hiyo kunalizika uchaguzi mwingine utakuwa tayari umeshafanyika ndio maana nakwambia [Luambano] unajua hizi siasa za mpira na wote tunaziishi"
SHAFFIH DAUDA.
Comments
Post a Comment