Mwonekano wa Chama kwa mara ya kwanza anajiunga klabu ya Simba mwaka 2018.
Unaweza ukazani ni mtu tu katoka maji maji ya Songea kumbe alikuja kwa sababu maalum kwani uwepo wake ameisaidia Simba kuingia makundi dhidi ya Nkana ambao kabla hapo Simba ilikaa miaka 15 bila kuingia makundi.
Kisha akaisadia Simba kuingia robo fainali dhidi ya As vita goli la jioni kabisa huyu ndiyo #Mwamba_wa_Lusaka Local motive.
Nadhani hata yeye anajua jinsi Simba walivyo mthamini licha ya yeye kutoa mchango mkubwa ndio maana hakutaka kupoteza kabisa mda alipoona mambo hayaendi sawa huko Morocco akakumbuka nyumbani kwake mitaa ya msimbazi na Benjamin Mkapa ndio Ofisini kwake.
Kwa Mkapa kila mtu alikili Chama ni kikwazo cha wao kufungwa magoli mengi hata aliewahi kuwa kocha wa Polisi Tanzania msimu uliopita Minziro alisema sijafungwa na simba bali nimefungwa na Chama.
Yemwe yemwe yemwe unaona kama mimi
Comments
Post a Comment