MWAKALEBELA:YANGA TOP 10 AFRIKA. TUNAINGIA.
MWAKALEBELA:YANGA TOP 10 AFRIKA. TUNAINGIA.
“Sasa tunataka tuwe katika nafasi 10 bora Afrika, huko chini tumeshavuka. Watanzania bila kujali ushabiki tuendelee kuiombea Yanga ili izidi kufanya vizuri kwa msimu ujao tutaibebe nchi kimataifa na malengo yetu ni kuhakikisha tumeingia katika vilabu 10 Bora Afrika.”
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, FREDRICK MWAKALEBELA.
Comments
Post a Comment