Mjue Peter Banda Mwenye Asili Ya Kimalawi
HUYU NDIYO PETER BANDA
π Mwaka 2000 kunako Taifa la Malawi...walizaliwa vijana wengi pale Malawi..na miongoni mwao ni Peter Banda
π Asili yake ni Malawi na Taifa lake ni Malawi. Kijana Peter Banda ndiye kijana anayetazamwa zaidi nchini humo kwenye tasnia ya Soka la mpira wa miguu.
π£ Maisha yake Ya Soka yalianzia pale kwenye timu ya Griffin Young Star FC. Mwaka 2017 - 2019
π₯Uwezo wake ulivivutia vilabu vingi pale Malawi. Na moja kati ya timu kubwa nchini humo ya Nyasa Big Bullets na ikamsinisha mwaka 2019 hadi 2021.......
π Nyota yake ilionwa na Club iliyozoea kushiriki EUROPA LEAGUE huko Ulaya....club ya Shariff Tiraspol. Mwaka 2021 alisajiliwa.kwa mkopo.
π₯Kama ujuavyo kijana bado ni mdogo alishindwa kuendana na mazingira kwa haraka Kama timu ilivyokuwa ikimuhitaji... Ilimrejesha nyumbani mwaka Huo Huo 2021
π‘Rada kali ya Msambazi ilimnasa kiumbe hiko chenye uwezo wa ajabu na ilimsaini mwaka 2021 mwezi wa 8.
❤Natamani nieleze uwezo wake pale Simba kwa Sasa lakini nitakuwa muongo...kwani kila mtu anashuhudia uwezo wake wa ajabu....
Huyo ndiyo Peter Banda ....Wonder Kid......
Comments
Post a Comment