Mchezaji Wa Timu Ya England Abadili Uraia Wake Na Kuwa Mtanzania

 DONE & CONFIRMED 📌


Beki wa kushoto ambaye pia hucheza beki wa kati katika Klabu ya Portmouth inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza 'Championship' Nchini Uingereza,Haji Mnoga amekubali kubadili uraia na kuwa Mtanzania Rasmi baada ya Hatua zote kufuatwa na kukamilika.


Mnoga mwenye umri wa miaka 19 amewahi kuitumikia timu ya Vijana ya England Chini ya Miaka 17 na 19 na sasa anaruhusiwa kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania endapo ataitwa.


HONGERA & KARIBU SANA @mnogsss


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes