Mchezaji ASiyeona Galatasaray
Mwaka 2020 beki wa klabu ya Galatasaray 🇹🇷 Omar Elabdellaouri alipoteza uwezo wa kuona baada ya kulipukiwa na fataki.
- Ilimchukua takribani mara (11) kufanyiwa surgery kurejesha uwezo wake wa kuona 👀.
- Leo kwa mara ya kwanza baada ya siku (423) amerejea na kucheza soka katika klabu yake ya Galatasaray 🇹🇷 🙏
NB ; Omar ni huyo aliyevaa miwani.
Comments
Post a Comment