Mashabiki Ruksa Kushuhudia Rs Berkane Vs Simba Sc
-Shirikisho la soka Afrika CAF limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa RS Berkane dhidi ya Simba SC utakaopigwa Feb 27
Ikumbukwe mashabiki nchini Morocco walizuiliwa kuingia uwanjani tangu mlipuko wa Covid 19 kutokana na idadi ya visa vya Covid kuwa vingi nchini humo.
Comments
Post a Comment