MAPITO NA VIJIMAMBO VYA BERNARD MORISSON🇬🇭
MAPITO YA BERNARD MORISSON🇬🇭
🔷️ 2016: Alijiunga na Orlando Pirates🇿🇦 akitokea AS VITA CLUB 🇨🇩 wakiwa na matarajio ya yeye kufanya vizuri sana
🔷️ 2017: Alikamatwa Afrika Kusini🇿🇦 kutokana na tuhuma za kuwa na umilika wa gari la wizi
🔷️ 2018 : Anaondoka Orlando Pirates🇿🇦 baada ya kutokuwa na msimu mzuri, Klabu ya Chippa United inatangaza Kumsajili, Morisson anakataa kujiunga na klabu hiyo
🔷️2019 : Anarejea Afrika Kusini kutafuta klabu mpya ndani ya ligi hiyo lakini inashindikana
🔷️2020 : January 2020, Anajiunga na Yanga SC 🇹🇿 akiwa mchezaji huru chini ya kocha Luc Eymael
🔷️2020 : Anakamatwa na Polisi baada ya kugoma kufanyiwa ukaguzi na askari wa doria
🔷️2020 : August anajiunga na Simba SC 🇹🇿 kwenye Usajili uliojaaa Utata na mambo mengi ndani yake
🔷️2021 : Anashinda kesi CAS dhidi ya klabu yake ya Zaman Dar young Afrika 🇹🇿i baada ya sakata la usajili wake ndani ya Simba SC 🇹🇿
🔷️2022 : Anasimamishwa na klabu yake ya Simba SC 🇹🇿 kwa kosa la kinidhamu
Comments
Post a Comment