Manchester United imesitisha mkataba wake wa udhamani na kampuni ya ndege ya Urusi
Klabu ya Manchester United imesitisha mkataba wake wa udhamani na kampuni ya ndege ya Urusi Aeroflot wenye thamani ya Pauni milioni 40, kufuatia Urusi kuvamia nchini Ukraine.
Manchester United wamekuwa na mkataba wa wakusafirishwa na shirika hilo tangu mwaka 2013
Comments
Post a Comment