Lusajo Ni Mwendo Wa Kimya Kimya Wataelewa Tu
😮 E bana ee ! Lusajo amefunga magoli mengi ligi kuu (⚽10) msimu huu kuliko magoli yote waliyofunga Tanzania Prisons ligi kuu msimu huu mpaka sasa 🔥
Full 🕡 Namungo fc 2 - 0 Mbeya city.
40' 🕡 Lukas Kikoti ⚽
47' 🕡 Reliants Lusajo ⚽
Note ; Mbeya city wamepoteza mchezo wa pili ligi kuu msimu huu. Ni Yanga SC pekee ambao hawajapoteza mchezo.
1. ❌ 00 = Young Africans.
2. ❌ 02 = Mbeya city.
3. ❌ 03 = Simba SC
Namungo wamemtoa Mbeya city kwenye nafasi ya (4) ligi kuu Tanzania bara.
1. 🎱 14 ⚽ 19 🅿️ 36 = Young Africans.
2. 🎱 15 ⚽ 10 🅿️ 31 = Simba SC.
3. 🎱 14 ⚽ 08 🅿️ 24 = Azam fc.
4. 🎱 15 ⚽ 05 🅿️ 23 = Namungo
5. 🎱 15 ⚽ 04 🅿️ 23 = Mbeya city.
6. 🎱 15 ⚽ 00 🅿️ 20 = Geita gold
Comments
Post a Comment