Lukaku kavunja rekodi ya Epl !
Lukaku kavunja rekodi ya Epl !
- Kwa mara ya kwanza Epl mchezaji amecheza kwa dakika 90' na kufanikiwa kuugusa mpira mara saba tu !!!
- Mchezaji huyo ni Lukaku !!! Aligusa mpira mara mbili tu kipindi cha kwanza jana dhidi ya Crystal palace.
NB ; Akili iko Inter mwili uko Chelsea.
Comments
Post a Comment