KAULI 4 ZA BIN ZUBEIRY KWA YANGA NA SIMBA

 KAULI 4 ZA BIN ZUBEIRY


-Yanga sio timu yenye ubora wa kucheza mashindano ya CAF” - Bin Zubeiry


-Ligi ya NBC sio miongoni mwa ligi bora barani Afrika, kama nchi tulipeleka timu nne lakini mpaka sasa imebaki Simba tu” - Bin Zubeiry


-Nchi ambazo zina ligi bora, zina timu zaidi ya moja kwenye hatua y’a makundi ya michuano ya CAF, kwa hapa Tanzania kuna timu zingine alafu kuna Simba” - Bin Zubeiry


-Simba wameseti standard yao ambayo inaitofautisha kwa mambo mengi na vilabu vingine, linapokuja suala la Mashindano ya kimataifa, Watanzania tuungane kwa pamoja kuisapoti Simba, ndiyo inayotuwakilisha vizuri” - Bin Zubeiry


Comments

Popular posts from this blog

Tanesco Yashusha Neema Vijijini

Try Again tumezidiwa pointi 11, lakini tuna mechi 15 mbeleni