Kamanda Henry MwaibambeMauwaji Geita Yakithiri

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema jumla ya mauaji katika Mkoa wa Geita kuanzia kipindi cha mwezi June mwaka jana mpaka mwezi February mwaka huu ni mauaji 46 na kati ya vifo hivyo 28 wamejinyonga.


Takwimu hiyo ameitoa leo ambapo amesema matukio hayo yamechangiwa na ushirikina vifo 2, wivu wa kimapenzi vifo 10, mauaji ya kawaida vifo 8, mauaji ya kiuhalifu vifo 3 na ugomvi wa kawaida vifo 23.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes