Jamie Carragher kuhusu Rashford:
Jamie Carragher kuhusu Rashford:
“Marcus Rashford amekuwa kwenye timu hii (Man United) tangu akiwa mtoto na mara zote alikuwa akipambana kwenda ngazi ya juu, ambapo wachezaji wa juu wanafika, lakini bado hajafika huko.”
“Sasa tumefikia mahali ambapo sidhani kama anafaa kuwa kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United. Uchezaji wake msimu huu haumhakikishii kuwa kwenye timu.”
“Mara nyingi anakuwa kwenye kikosi cha kwanza, hata wachezaji wengine wanapokuwa fiti yeye anapewa nafasi, uhusika wake upande wa kulia haumfai hata kidogo, hivyo anatakiwa awe kushoto au ndani. katikati.”
“Lakini bado tunasubiri Rashford achukue hatua hiyo na kuwa mchezaji mkubwa wa United au mchezaji ambaye anaweza kuwasaidia kushinda mataji makubwa, na yeye bado hajafikia hapo.”
“Katika umri huu, United inahitaji mtu bora kuliko Marcus Rashford wa sasa.”
Comments
Post a Comment