Haji Manara Jezi Ya Kuuzwa Elfu 22 Tu
"Tumetoa punguzo la bei kwenye jezi za Yanga ili mashabiki wengi wapate jezi original kwa bei ndogo na kuongeza hamasa. Reja reja zitauzwa Tsh 30.000/= na jumla Tsh 22,000/ ="
"Kwa mujibu wa takwimu, Yanga mpaka sasa imeuza jezi mara tano ya vilabu vingine Tanzania msimu huu"
🔍 Haji Manara msemaji wa Yanga.
Comments
Post a Comment