Golikipa Wa Zamalek Akutana Na Wachezaji Wa Simba Sc

 -Yule golikipa 'Jini' waliekuwa wanamuona kwenye Tv akipangua penati ya Sadio Mane kwenye michuano ya AFCON iliyofanyika nchini Cameroon hatimaye wamekutana nae live


Yes, Mohamed Aboul Gabal 'GABASK' jana alikutana na magolikipa wa Klabu ya Simba nchini Morocco.


Gabaski ambaye ni golikipa wa Zamalek ni miongoni mwa magolikipa bora sana kwasasa Barani Afrika.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes