Gianni Infantino ametangaza kuvifungia kwa muda usiojulikana vyama vya Soka Nchini Kenya na Zimbabwe
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino ametangaza kuvifungia kwa muda usiojulikana vyama vya Soka Nchini Kenya na Zimbabwe kufanya shughuli za Mpira wa Miguu Kutokana na kuingiliwa na Serikali katika uendeshaji wa Masuala ya soka.
#FIFA #kenya #Zimbabwe🇿🇼
Comments
Post a Comment