Gharib Said Mohamed Posho Million 25 Yanga Sc

 Bilionea na Mdhamini wa Klabu ya Yanga SC,Gharib Said Mohamed (GSM) ameongeza Kiwango Cha Posho kwa Wachezaji endapo Watashinda Mchezo wowote ambao Klabu hiyo itacheza ambapo kwa Sasa watakuwa wanapokea Shillingi Millioni 25.


Msimu uliopita Wachezaji wa Yanga SC walikuwa wanapokea Kiasi Cha Shillingi Millioni 15 kwa Mchezo wanaoshinda na hivi sasa imefikia Shillingi Millioni 25 ambazo hugawana wenyewe kwa wenyewe.




Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes