Popular posts from this blog
JAMHURI KIHWELO JULIO BABA MZAZI ATEMA CHECHE
Try Again tumezidiwa pointi 11, lakini tuna mechi 15 mbeleni
LICHA ya Yanga kutambia pointi 11 zaidi ilizoipiku Simba katika harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ ameonya wana mechi 15 watakazocheza kimkakati na wanaamini kushangaza wengi. Amesisitiza “Sawa tunaanza mzunguko wa pili tukiwa tumezidiwa pointi 11, lakini tuna mechi 15 mbeleni, hivyo tusubiri, msiwe na haraka na mambo” Yanga Jumapili iliyopita ilifikisha pointi 42 na kujiimarisha kileleni kwenye msimamo ikiwapiku watani zao Simba kwa pointi 11 na kesho Wekundu wa Msimbazi wataikaribisha Biashara United ikiwa ni mechi yao ya kwanza ya mzunguko wa pili. Hadi sasa Simba ni ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 31 na ikishinda itafikisha 34 na kupunguza gepu la pointi Tofauti ya pointi hizo zimesababisha baadhi ya wapenzi wa Yanga kutamba kasi hiyo haitoshuka kwenye mzunguko wa pili na kila timu ishinde mechi zake. Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela alisema “Pointi 1...
Comments
Post a Comment