FREEMAN MBOWE NA WENZAKE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
FREEMAN MBOWE NA WENZAKE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
Mahakama imemkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu na Kesi ya Kujibu katika mashitaka matano kati ya 6 kwenye Kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya Ugaidi inayowakabili
Comments
Post a Comment