Florent Ibenge Sina Record Nzuri Kw Simba Sc
🗣 " Ni kweli rekodi yangu dhidi ya Simba si nzuri lakini sio sababu ya sisi kufeli dhidi yao. Tuna nafasi nzuri ya kupambana dhidi yao, tumetoka kupoteza katika mchezo uliopita tukiwa ugenini nchini Ivory Coast hivyo tunatakiwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani. Kwa jinsi ilivyo ni lazima tupate matokeo nyumbani."
Kocha wa RS Berkane, Florent Ibenge akisisitiza ni lazima wapate matokeo katika mchezo ujao dhidi ya Simba.
Comments
Post a Comment