Faidhati Ibrahim Auwa Morogoro
Mwanafunzi wa darasa la 7 Shule ya Msingi Mwenge, Manispaa ya Morogoro, Faidhati Ibrahim (13) ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake ambaye ni binamu anayetambulika kwa jina la Shomari Malima akiwa katika nyumbani kwao mtaa wa Tambukareli Kata ya Kingolwila huku sababu ikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia kati ya mama wa marehemu na mama wa mtuhumiwa.
Comments
Post a Comment