Dodoma Jiji Waicharukia Mitandao Ya Kijamii

 - Klabu ya Dodoma jiji imepeleka mashitaka (TCRA) wakilalamika kuhusu watu wanaotumia jina lao kwenye mitandao ya kijamii.


- Msemaji wa klabu hiyo amesema watu wanaotumia majina ya vilabu ni hatari sana kwa vilabu, kwani unaweza kudhani account ya Mbeya kwanza imeandika vitu ambavyo huvipendi ukaichukia, kumbe sio account ya klabu hiyo.



Comments

Popular posts from this blog

Tanesco Yashusha Neema Vijijini

Try Again tumezidiwa pointi 11, lakini tuna mechi 15 mbeleni