Chris Mugalu Kumpisha Adebayor
-Uongozi wa Simba umethibitisha kuachana na staa mmoja mkubwa wa kigeni katika timu hiyo ili kiungo mshambuliaji wa US Gendarmerie ya nchini Niger, Mnigeria, Victorien Adebayor achukue nafasi yake.
-Tetesi zinasema kuwa, mshambuliaji Mkongomani, Chris Mugalu, ndiye anayetajwa kuachwa kutokana na kuwa na matatizo mengi ikiwemo majeraha ya mara kwa mara.
Comments
Post a Comment