KUNA MAHALA YANGA WANAKWAMA

➡️ Klabu ya Yanga ya jijini Dar-es-salaam imetangaza kuwa inaongoza kwa mauzo ya jezi mara tano kuliko klabu yeyote na wakati huohuo imeshusha bei ya jezi hizo kutoka bei ya jumla jumla ya zamani Tsh 30,000/= hadi Tsh 22,000 na kwa bei ya rejareja kutoka 35,000/= hadi 30,000/=


➡️ Jambo la kujiuliza inakuwaje ushushe bei ya bidhaa inayonunuliwa zaidi sokoni tena kwenye kipindi ambacho inauzika kuliko jezi nyingine yeyote?

➡️ Yaani ni sawa na kusema una duka la nafaka kama mchele,ngano, maharage halafu kati ya bidhaa hizo mchele ndio unanunuliwa kwa kasi mara tano ya ya bidhaa nyingine hapo dukani na mchele huo huo uushushe bei 

➡️Kama hii sio kazi ya Manara basi idara ya masoko hapo jangwani haipo sawa huu mmetuletea mchezo wa kitoto


NB: WAKATI WENGINE WAKIHANGAIKA KUMNUNUA ADEBAYOR YANGA HUKU WANAHANGAIKA KUMNUNUA MARIOO

NDIO MAANA WIMBO WA POMBE UMEGEUZWA KUWA WIMBO WA YANGA


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes