Binadamu Wabaya Na Ubinadamu Kazi
Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao.
Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini.
Comments
Post a Comment