Bernard Morison Atia Mguu Mazoezi Simba
-Baada ya kusamehewa winga Benard Morrison Jana amefanya mazoezi na timu Ya Simba Sc kujiandaa na mchezo wa kombe la FA (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Ruvu Shooting mchezo ambao utachezwa Leo majira ya saa 1:00 usiku kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Comments
Post a Comment