BARBRA: KILA KITU KIPO TAYARI MOROCCO .
BARBRA: KILA KITU KIKO TAYARI MOROCCO
.
CEO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye tayari yupo nchini Morocco 🇲🇦 amesema mambo yako sawa ili kuhakikisha timu inaenda kufanya vizuri ugenini.
.
Amefafanua kuwa wamefanya uchunguzi na tayari wamekamilisha suala la usafiri, sehemu ya kufikia na chakula. 👏
Comments
Post a Comment