BAADA YA URUSI KUISHAMBULUA UKRAINE KIJESHI…..

 BAADA YA URUSI KUISHAMBULUA UKRAINE KIJESHI…..


Poland, Uswisi na Jamhuri ya Czech zimetoa kauli ya pamoja ya KUKATAA kucheza mechi zao za mchujo za Kombe la Dunia la FIFA dhidi ya Urusi huko Moscow. Hali ambayo imezidi kuiweka rehani Urusi katika michuano ya kimataifa na uanachama wake FIFA.


Mpaka sasa bado FIFA hawajatoa tamko lolote kuhusu ushiriki wa Urusi kisoka duniani baada ya taifa hilo kuivamia kijeshi Ukraine kwa makombora na roketi. 


Tayari nchi mbalimbali Ulaya magharibi na Marekani wameiwekea vikwazo Urusi na kukataa ushirikiano nayo katika michezo.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes