Baada ya (TFF) kutoa orodha ya mawakala wa wachezaji Shafii Dauda Aibuka

 - Baada ya (TFF) kutoa orodha ya mawakala wa wachezaji  wanaotambulika na ambao wanaruhusiwa kufanya kazi nchini......


..... Huku majina ya Shaffih Dauda na Jemedari Said yakikosekana, wachambuzi hao wameeleza yafuatayo ;


"Mimi sio wakala, na sijawahi kuwa na leseni ya uwakala. Namiliki kampuni ya uwakala SHADAKA ambayo ilikuwa na wakala Ibrahim Mohamed ambaye kwa sasa haja-RENEW leseni yake" 🔍 Shaffih Dauda.


"Kazi yangu ni kuwakutanisha vijana na mawakala wakubwa mbalimbali"

🔍 Shaffih Dauda.

.

.


"Alichoeleza Shaffih ndivyo ilivyo,, unauliza mimi ni wakala au meneja ?  Ofcoz mimi ni Meneja sio wakala"


"Kama meneja wa Aishi Manula tulifanya kazi na wakala FAUSTINO IKANDILA, kuna timu ilimuhitaji Manula lakini wakala huyo akahitaji pesa nyingi zaidi kutoka kwa klabu hiyo klabu ikasitisha dili" 🔍 Jemedari Said.


"Sasa hivi tulishajitoa kwa wakala huyo kwa sababu tuliona mkataba baina yetu hauna faida. Miimi ni meneja wa Aishi Manula, John Bocco na wachezaji wengine na sio wakala"


🔍 Jemedari Said.


Comments

Popular posts from this blog

Shafii Dauda Nipo Huru Sijafungiwa Na TFF

Gsm Uso Kwa Uso Na Bernard Morrison

Chelsea Bango kubwa linasomeka kutoka Forbes