Azam fc wamepigwa na kitu kizito 🙆
Azam fc wamepigwa na kitu kizito 🙆
Full 🕡 Biashara Utd 2 - 0 Azam fc
49' 🕡 Collins Opare ⚽ 🔥
90' + 2 🕡 James Shagara ⚽,
Note ; Huyu Collins Opare aliichukua cleansheet ya Diarra juzi juzi kwenye (FA). Usajili bora wa dirisha dogo 💪
Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara.
1. 👕 14 ⚽ 19 🅿️ 36 = Young Africans.
2. 👕 15 ⚽ 10 🅿️ 31 = Simba SC.
3. 👕 15 ⚽ 07 🅿️ 24 = Azam fc.
4. 👕 15 ⚽ 05 🅿️ 23 = Namungo fc.
5. 👕 15 ⚽ 04 🅿️ 23 = Mbeya city.
Comments
Post a Comment