Athari za mzozo wa Urusi na Ukraine katika Soka
Athari za mzozo wa Urusi na Ukraine katika Soka
.Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich amezuiwa kabisa kuishi Uingereza kwa vile anatajwa kuwa mmoja wa wawezeshaji wakuu wa utawala wa Rais wa Urusi Vladimir Putin.
.Ligi za Soka nchini Ukraine zimesimama kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na mzozo wa kisiasa ulipo kwa sasa kati ya Nchi hiyo na Urusi.
.UEFA wanajadili uwezekano wa kuhamisha fainali ya UEFA Champions League msimu huu kutoka St Petersburg (Urusi) kutokana na mzozo huo.
Comments
Post a Comment