Ahmed Ally Watanzania Ondoeni Shaka Simba Sc Tunakuja Na Point Tatu
Meneja Mawasiliano wa @simbasctanzania @ahmedally_ amesema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo na ahadi waliyoitoa ni ushindi kwenye mechi ya leo dhidi ya USGN ya nchini Niger.
"Wachezaji wote wapo timamu na wapo tayari kwa mchezo"
"Kama kawaida yangu nimetembelea wachezaji wetu kuwajulia hali na kama haitoshi wametuhakikishia matokeo mazuri hii leo. Wana Simba wenzangu dua zenu ni muhimu sana kuelekea jioni ya leo" - Ahmed Ally
Comments
Post a Comment